-->

Tag Archives: RICHIE

Tupeni Uhuru Tufanye Yetu – Richie

Post Image

Msanii wa filamu Tanzania ambaye juzi ameiwakilisha vizuri nchi na kutwaa tuzo nchini Nigeria Single Mtambalike au Richie, ameiomba serikali kuwapa uhuru katika kazi zao ili wapate uhalisia wa matukio. Akiongea kwenye kipindi cha WeekendBreakfast juma pili kinachorushwa na East Africa Radio, Richie amesema kitendo cha wasimamizi wa kazi za sanaa kufungia baadhi ya kazi […]

Read More..

Nimekasirika Kupata Tuzo Hii – Richie

Post Image

Msanii wa filamu za Kitanzania Single Mtambalike maarufu kama Richie amesema amekasirishwa na kitendo cha yeye kushinda tuzo moja, badala ya zote mbili ambazo filamu yake ilikuwa nominated. Richie ameyasema hayo alipokuwa akiongea kwenye kipindi cha Weekend Breakfast siku ya jumapili,, na kusema kuwa baada ya filamu yake kuingia kwenye hizo category mbili aliamini yeye […]

Read More..

Lulu na Richie wanyakua Tuzo Usiku wa Jana,...

Post Image

Usiku wa jana Tanzania imeingia kwenye headlines tena baada ya waigizaji wa Tanzania kuchukua Tuzo Africa Magic Viewer’s Choice Awards 2016 zilizotolewa Lagos Nigeria ambapo mwimbaji toka Tanzania Alikiba  alikuwa mmoja kati ya wasanii waliotumbuiza kwenye tuzo hizo. Wasanii wa Filamu Tanzania Elizabeth Michael na Single Mtambalike wamefanikiwa kuondoka na tuzo moja kila mmoja ambapo Elizabeth Michael (Lulu) amechukua […]

Read More..

Richie na Lulu Watua Lagos, Nigeria Kwenye ...

Post Image

Mastaa wa Bongo Movies, Single Mtambalike ‘Richie’ na Elizabeth Michael ‘Lulu’ wameshatua jijini Lagos, Nigeria kwaajili ya kuhudulia utoaji wa tuzo za filamu za Africa Magic Viewers Choice Awards zitakazo fanyika siku ya leo jijini humo. Richie anawania tuzo  katika kipengele cha Best Movies-East Africa kupitia filamu yake ya KITENDAWILI wakati Lulu naye anawania tuzo […]

Read More..

JB Afunguka ya Moyoni Kuhusu Richie

Post Image

JB ameandika haya kwenye ukurasa wake mtandaoni mara baada ya kuweka picha hiyo hapo juu akiwa na Richie. “Wakati tunaelekea kutimiza miaka 15 ya Jerusalem films company nitakuwa nawashukuru watu ambao kwa kiasi kikubwa wamegusa maisha na kutoa mchango kwa Jerusalem, wa kwanza ni huyu Richie. Wewe ni ndugu yangu umenifanyia mengi sana, kwa kifupi […]

Read More..