-->

Richie na Lulu Watua Lagos, Nigeria Kwenye Tuzo za AMVCA 2016

Mastaa wa Bongo Movies, Single Mtambalike ‘Richie’ na Elizabeth Michael ‘Lulu’ wameshatua jijini Lagos, Nigeria kwaajili ya kuhudulia utoaji wa tuzo za filamu za Africa Magic Viewers Choice Awards zitakazo fanyika siku ya leo jijini humo.

LULU765

Richie anawania tuzo  katika kipengele cha Best Movies-East Africa kupitia filamu yake ya KITENDAWILI wakati Lulu naye anawania tuzo katika kipengele hicho hicho cha Best Movies-East Africa kupitia filamu ya MAPENZI ya MUNGU.

Tunawatakia kila la kheri.

SINGLE34

Comments

comments

Post Tagged with ,

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364