-->

Tag Archives: STEVENYERERE

Steve Nyerere Kutoa Movie Moja tu Mwaka Huu

Post Image

Mchekeshaji na staa wa Bongo Movies, Steve Nyerere ameibuka na kusema mwaka huu atatoa filamu moja tu. Steve Nyerere amesema anawashangaa wasanii wanaotoa movie nyingi lakini hazina ubora. Amesema “Kuna watu wanatoa movie mpaka tatu kwa mwaka lakini zote ni mbovu”. Steve ameahidi kuwa movie hiyo atakayoitoa itakuwa ni kali sana. Steve aliongea hayo na […]

Read More..

Steve Nyerere Ahenyeshwa Polisi

Post Image

DAR ES SALAAM: Msala! Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amedaiwa kuhenyeshwa polisi kutoka na msala wa rafiki yake kuaminiwa fedha za matengenezo ya gari na kuanza ‘kupiga karenda’ matengenezo hayo bila sababu za msingi. Chanzo makini kimeeleza kuwa, miezi kadhaa iliyopita, Steve alimpeleka rafiki yake aitwaye Mohamed maarufu kwa jina la […]

Read More..

Nyerere Kutoa Filamu Kubwa Mwaka Huu

Post Image

Steve Nyerere amesema baada ya kukaa kimya kwa miaka minne bila kutoa filamu, mwaka 2016 atawapa raha mashabiki wake.   “Nina miaka minne sijatengeneza wala kutoa sinema na si kwamba siuzi,” aliandika kwenye Instagram. “Kwa mwaka nitakuwa natoa sinema 1 tu ila itakuwa zaidi ya vile tunavyofikiria, ni ubora wa hali ya juu sio kwa […]

Read More..