-->

Tag Archives: THEA

Mike Sangu Afunguka Hatma ya Ndoa Yake na T...

Post Image

JINA alilopewa na wazazi wake ni Michael Sangu lakini kwenye sanaa anatambulika kwa jina la Mike. Ni mwigizaji na mwongozaji wa filamu za Kibongo kwa muda mrefu. Habari kubwa zaidi katika maisha yake kwa sasa ni kuhusu ndoa yake na mwigizaji mwenzake Salome Ndumbangwe Misayo ‘Thea’.  Ni zaidi ya mwaka mmoja sasa amekuwa na mgogoro […]

Read More..

Thea Adaiwa Kuhongwa Gari

Post Image

STAA wa filamu Bongo, Salome Urassa ‘Thea’ sasa hivi anasukuma mkoko baada ya kutembea kwenye vumbi kwa muda mrefu lakini pia taarifa zilizo nyuma ya pazia zinadai eti kahongwa na mwanaume. Inadaiwa baada ya Thea kumwagana na Michael Sangu, alijiweka kwa mwanaume mwenye nazo na ndiye aliyempa jeuri ya kumiliki gari hilo aina ya Toyota […]

Read More..

Thea Atetwa kwa Vimini, Acharuka!

Post Image

MSANII mkongwe wa fi lamu Bongo, Ndumbagwe Misayo ‘Thea’ amejikuta akitetwa akidaiwa kuwa mcharuko kwa kuvaa vimini hasa baada ya kuachana na mumewe, Michael Sangu ‘Mike’. Kutetwa huko kumeonekana kumkera sana Thea ambaye juzikati akichonga na Ijumaa alisema, anawashangaa wanaomsema vibaya kwani anaamini anaishi maisha anayotaka yeye na wala hakuna anayeweza kumzuia. “Mimi napenda kuvaa vimini tangu zamani […]

Read More..