TID Ampa Makavu Harmorapa
Msanii mkongwe wa bongo fleva, TID ambaye kwa sasa anapenda kuitwa jina la Mnyama, amesema Harmo ni msanii ambaye hajui muziki lakini anataka kuimba.
“Harmorapa ni mtu asiyejua muziki lakini anataka kuimba,” TID amekiambia kipindi cha On The Eight cha TVE.
Hata hivyo sio muimbaji huyo pekee ambaye ameonekana kutomkubali rapper huyo, wengine ni Master J, Afande Sele na wengine.