-->

TUNDA- Napenda vitu vizuri na ninaweza kujilipia mwenyewe

Baada ya kusambaa video ya Tunda akila Bata na Kinje,

Tunda alielezea kuwa yeye havujishagi video na kuhusu kulala hoteli za nzuri na kula bata anajilipia yeye mwenyewe au wakati mwingine mpenzi wake lakini yeye anaweza kujilipia mpaka hotel ya Dolla 400..

..>>>“Mimi napenda vitu vizuri na penda kula sehemu nzuri na kulala sehemu nzuri hata kwangu ni pazuri sijawahi kupenda kula sehemu mbaya mimi siwezi kula uswahilini na napika nyumbani sipendi location mbaya na ninatumia hela yangu sijawahi kwenda na mwanaume nakuwaga peke yangu” – Tunda

 

Baada ya video za tunda na kinje kusambaa.

Tunda aliomba radhi kwa watu wote kutokana na matendo hayo kupitia mtandao wa INSTAGRAM.

Mara baada ya hapo mke kinje alijibu pia kwenye mtandao wake ya SNAPCHAT

Comments

comments

Post Tagged with ,

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364