-->

Uhuru Wangu Umepungua Tangu Niolewe – Shamsa Ford

Msanii wa filamu nchini Shamsa Ford amesema kuwa maisha yake kwa sasa yamepungua uhuru baada ya kuingia katika ndoa

SHAMSA0221

Shamsa Ford

Kupitia camera za eNewz Shamsa amesema “Kwa sasa uhuru umepungua, hata zile ‘outs’ sasa zimepungua”

Alipoulizwa kama je ndoa yake itabadilisha mtindo wake wa uigizaji, Shamsa alisema “Mimi bado ni m’bongo movie na mume wangu ananielewa, so hakuna chochote kitakachobadilika”.

eatv.tv

 

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364