-->

Video: Diamond Akusanya Kijiji Kwenye Show ya ‘Mosi Day of Thunder’, Zambia


Msanii wa muziki, Diamond Platnumz, Jumapili hii amefanya show ya nguvu katika tamasha la ‘Mosi Day of Thunder Music Festival’ la nchini Zambia.

 

Muimbaji huyo aliwashukuru mashabiki wa nchi hiyo kwa kujitokeza kwa wingi katika show yake.

“MY SHOW LAST NIGHT IN LIVINGSTONE ZAMBIA…. Mama see how much Zambia loves your Son… i hope they know how grateful i am…thank you so much ZAMBIA Chibu loves you More? #SimbaInZambia #SOLDOUT,” aliandika muimbaji huyo katika moja na video alizopost mtandaoni.

Aliongeza, “Nafikiri leo tuishie hapa kisha tutaendelea kesho, ila video zangu za kesho ntazokuwa nazipost zitakuwa na ujumbe maalum kwa wasanii wenzangu pendwa toka nchini Tanzania ?) #SimbaInZambia,”

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364