Manamuziki maarufu wa nyimbo za Injili, Flora Flora, ambaye ni mjukuu wa aliyekuwa muhubiri maarufu nchini, Askofu, Moses Kulola (sasa marehemu), amefunga ndoa leo tarehe 30/04/2017 jiji Mwanza na mchumba wake Daudi Kusweka.
Hizi ni baadhi ya picha za harusi hiyo.
Madam Flora akielekea sehemu ya kufungia ndoa
Comments
comments