-->

Video: Diamond Akutana na mchekeshaji Maarufu wa Marekani, Kevin Hart

Akiwa jijini Los Angeles, Marekani ambako tayari ameshoot video ya wimbo Marry You aliomshirikisha Ne-Yo, Dimaond Platnumz amekutana na mmoja wa mastaa maarufu sana Marekani. Amekutana na mchekeshaji na muigizaji wa filamu, Kevin Hart.

DIAMOND3322

 

Diamond ameweka video akiwa na mchekeshaji huyo kwenye ukurasa wake wa Instagram.Icheki hapa.

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364