VIDEO: Jux Kurudiania na Vanessa?
Msanii Jux amefunguka na kuweka wazi msimamo wake endapo mpenzi wake wa zamani Vanessa Mdee akitaka kurudi na waishi kama zamani na kusema kwa sasa hajui hivyo hawezi kuhukumu wala kusema lolote juu ya hilo.
Jux anasema ni bora asubiri wakati uongee kuliko kusema jambo ambalo hata yeye mwenyewe halifahamu na kusema anaweza kusema haiwezekani kumbe mwisho wa siku ikawezekana na anaweza kusema inawezekana lakini isiwezekane.