-->

Country Boy Afunguka Kulelewa na Kajala (VIDEO)

Rapa Country Boy ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake ‘Turn Up’ akiwa na mkongwe Mwana FA amefunguka na kusema kuwa msanii wa filamu nchini Kajala Masanja anamlea vizuri na kusema kwake ni kama mama.

Country Boy anasema yeye na Kajala wanafahamiana muda mrefu na kudai kuwa hata wimbo wake wa kwanza kufanya Kajala ndiye aliyelipia fedha studio kwani yeye anatambua maumivu yake katika muziki wa bongo fleva.
Mtazame hapa Country Boy akifunguka zaidi

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364