-->

VIDEO : Mboto Afunguka Mastaa Kubadili Wapenzi

Msanii Mboto amefunguka sababu inayopelekea watu wengi wenye majina makubwa kubadili wapenzi mara kwa mara na kusema wengi wao wanakuwa na hofu juu ya wapenzi wanaowafuata na kutaka kuwa nao maana wanakuwa hawajui kama wanamapenzi ya dhati au wizi.

Mboto amesema hayo kwenye eNewz na kudai hiyo ndiyo imekuwa sababu kubwa wasanii wengi walio na majina kuogopa kuoa au kuolewa, na kusema ni bora watu ambao hawana majina wanaweza kukutana na kupendana kweli, lakini wao mara nyingi watu huwa wanakuja kwa sababu ya majina yao, pesa, au sababu zingine ambazo usipokuwa makini inaweza kula kwako.

eatv.tv

Comments

comments

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364