Video: Mtanzania wa Kwanza Kupata Shavu la Urais Kampuni ya Hollywood
Muigizaji na mtayarishaji wa filamu kutoka Tanzania, anayefahamika zaidi kupitia filamu ya Going Bongo, Ernest Napoleon, amechukuliwa kusimamia kampuni ya kimataifa ya utengenezaji na usambazaji filamu, D Street Media Group, kama Rais.
Bongo5