-->

VideoMpya : Sitamani kutoka Mimi Mars

VideoMpya : Sitamani kutoka Mimi Mars

Kwa mara nyingine tena Mimi Mars kaachia single/ngoma yake ya tatu inayojulikana kwa jina la “Sitamani” iliyotayarishwa na maproducers  Ammy and S2kizzy kutoka Switch Records. Young Lunya ndiye aliyeandika nyimbo na video yake imetayarishwa jijini Dar es Salaam, Tanzania chini ya Mkurugenzi Joowzey.

Bofya Play kuitazama video yenyewe hapa chini

 

 

cLICK here –> Vanessa mdee Auza Nakala 750 za CD ya Money Mondays Mlimani City

 

Comments

comments

Post Tagged with ,

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Hi there!

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364