-->

Wakili Kibatala ajitoa kesi ya Wema Sepetu, Msando achukua nafasi

Kesi inayomkabili Muigizaji wa filamu Bongo, Wema Sepetu, imeahirishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Jumatano kuendelea mpaka tarehe 8, Februali mwaka huu.

Wema Sepetu  na aliyekuwa wakili wake ndugu Kibatala akitoka nje ya Mahakama ya Hakimu MKaziKisutu Dar siku za hivi karibuni

Katika kesi hiyo iliyokuwa inaendelea katika Mahakama hiyo. Mahakama imepokea barua mbili kutoka Wakili wa Malkia huyo, Peter Kibatala barua ya kujitoa kuwa Wakili wa Wema na nyingine kutoka kwa Wakili Alberto Msando ya kuwa Wakili mpya wa Wema sepetu.

Wema Sepetu anakabiliwa na kesi ya matumizi ya dawa za kulevya.

Bongo5

Tujikumbushe

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364