-->

Wastara Afunguka Kuhusu Ndoa Tena

Msanii wa bongo Movie Wastara Juma afunguka juu ya stori zinazozagaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii na magazeti ya udaku kuwa hataki tena Ndoa.

wastara8

Akizungumza na Enewz Wastara alikanusha tuhuma hizo na kusema kuwa ndoa yake na mheshimiwa ilikua imejaa timbwili timbwili na makubwa mpaka ikapelekea akadai talaka na baada ya mheshimiwa kusanda pia wametokea wengi kutaka kumuoa bila kujali hali yake.

“kusema sitaki ndoa ni kitu ambacho hakiwezekani isipokuwa tu kwamba kila hatua moja ninavyopiga najifunza kutokana na makosa mimi nikisema sitaki tena mapenzi nitakuwa namkufuru mungu nikitaka kuolewa nitaolewa tu muda wowote”,alisema Wastara.

Eatv.tv

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364