-->

Kwa Picha Hii, Wema Amemjibu Zari?

Miezi kadhaa iliyopita liliibuka gumzo kubwa mtandaoni kati ya Timu Wema na Timu Zari kuhusu nani kati ya Wema Sepetu na Zarinah Hassan ‘Zari’ ana wowowo kubwa.

Wema na zari

Katika mjadala huo kila upande ulikuwa ukivutia kwake huku mara nyingi Timu Zari wakitumia ile picha aliyopiga Zari na Diamond (Zari kavaa gauni jekundu na Diamond kavaa suti nyeusi) ambapo Timu Wema wao walikuwa wakirusha tu vijembe kuwa, Wema wao hajaladii ila Zari kajaladia kwenye picha hiyo

Aidha, katika siku za hivi karibuni, Wema aliamua kumjibu Zari kwa kupiga picha iliyo kwenye pozi kama lile la Zari na Diamond huku Wema na jamaa yake huyo aliyedaiwa kuwa ni msanii wakiwa wamevaa nguo kama zile walizovaa Zari na Diamond (angalia picha ukurasa wa kwanza).

Kuanzia hapo ikawa mpambano ni kati ya picha hizo mbili ambazo wadau mbalimbali wamekuwa wakizitupia kwa pamoja.

Hata hivyo, mpaka sasa hakuna upande unaoonekana kuibuka na ushindi hivyo swali la kwamba ni nani kati ya wawili hao ana kalio kubwa jibu halijapatikana.

Chanzo:GPL

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364