-->

Wema Anaangushwa na Marafiki Zake – Kadinda

Mbunifu wa mavazi kutoka Bongo, Martini Kadinda amesema hawezi kumchagulia Wema Sepetu marafiki wa kuwa nao karibu na hawezi kujiingiza kwa lolote katika ugomvi wao.

Wema Sepetu na Martin Kadinda

Wema Sepetu na Martin Kadinda

Akipiga story ndani ya eNewz, Kadinda amesema ugomvi ambao unatokana na marafiki zake Wema unamshusha Wema kwa kuwa Wema ni mtu maarufu na ana jina kubwa hivyo alichokifanya ni kumzuia Wema kuweka ugomvi wake katika mitandao ya kijamii.

Pia Martin ameendelea kuwasihi mashabiki zake kuendelea kumpenda Wema na kazi zake ambazo anazifanya na siyo vinginevyo na pia wasimuhukumu Wema kwa mambo yanayoandikwa mitandaoni kwa kuwa hawajui chanzo chake.

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364