Wema: Deni Tulilonalo ni kwa Watanzania tu
STAA wa filamu na malkia wa mtandao Bongo, Wema Abraham Sepetu ‘Maddam’, amewafungukia wasanii walioandamana Kariakoo wakidai kuwa filamu zao haziuzi kutokana na mfumo wa usambazi wa kazi zao uliopo jijini Dar.
Madai hayo yamezuia mijadala kila kona ya jiji na nje ya Dar es Salaam. Wema amechapisha katika ukurasa wake wa Instagram na ujumbe unaosomeka hivi:
“Deni tulilonalo kwa Watanzania tu na vingine.”