Wema Sepetu Alipamba Jarida la Kenya ‘True Love Magazine East Africa’
Malkia wa filamu nchini Tanzania, Wema Sepetu amekava jarida kubwa la True Love Magazine East Africa la nchini Kenya.
Kwa sasa jarida hilo linaingia mtaani katika msimu huu wa pasaka. Kupitia Instagram, True Love Magazine East Africa, wameshare cover lake ambalo limepokelewa na maoni tofauti.
Katika jarida hilo Wema amezungumzia hela, wanaume pamoja na maisha yake kwa ujumla.
Bongo5