Wema Sepetu na Aunty Ezekiel Wapo Vizuri
Tofauti na kile ambacho baadhi ya mashabiki wa mastaa hao kudhani kuwa Wema Sepetu na Aunt Ezekiel hawaelewani kwa sasa, Wema Sepetu ameonyesha wazi kuwa yeye na Aunt wapo vizuri baada ya kubandika picha hiyo hapo juu ya Aunt Ezekiel akiwa na mtoto wake Cookie kwenye ukurasa wake wa instagram ma kuandika.
“My Picture of the day…!!! This is tooo Cute…. Mola akukuuzie Cookie wako Tiake…. #Priceless ??? Dah… Iko siku na mimi Inshallah…. Hii pic imenitoa hadi chozi…. You are sooo blessed mumy… @auntyezekiel @auntyezekiel”.