-->

Yusuph Mlela Apata Dili Hili Kenya

Msanii wa Bongo Movie,Yusuph Mlela amefunguka juu ya dili lake la nchini kenya.

yusuph

Yusuph Mlela

Akizungumza na Enewz Mlela amesema kuwa anashukuru Mungu kwakuwa hiyo ndiyo nafasi kwake katika kuiwakilisha nchi yetu.

“Project yangu ya Kenya imenipa Exposure kubwa sana kiasi kwamba imenitanua katika kila kitu na watu wategemee kitu kikubwa zaidi”, amesema Mlela huku akiongezea kuwa majukumu ya familia ndiyo yalimfanya atulie zaidi na kuwa kimya huku akihusika zaidi na kazi zake pekee.

Eatv.tv

NUNUA FILAMU KUTOKA STEPS ENTERTAINMENT: TUNAKUFIKISHIA POPOTE PALE ULIPO:

Piga namba hizi: 0673 348 364 au 0754 256 489.

KAMA UNATAKA KUWA WAKALA WA KUSAMBAZA FILAMU POPOTE PALE:

Piga namba hizi: 0673 348 364 au 0754 256 489.

Filamu Zilizotoka Hivi Sasa >>>>HIZI HAPA

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364