-->

Daily Archives: July 22, 2017

Chemical: Sifagilii Masharobaro, Nataka Mgu...

Post Image

Miongoni mwa marapa wa kike wanaofanya vizuri kwenye gemu ya Bongo Fleva, Chemical ni miongoni mwao ambapo hivi karibuni ameonekana kwenye muonekano mpya wa ‘kisistaduu’ tofauti na alivyozoeleka. Kufuatia wengi kumhoji kuhusu mwonekano huo mpya, mwanadada huyo amefunguka kwamba yeye siyo sistaduu n ahata kwenye suala zima la mapenzi, hawafagilii masharobaro bali anataka mwanaume mgumu kama Nay wa Mitego watakayeendana. Chemical ametaja sifa za […]

Read More..

Hali ya Mzee Majuto Kwasasa

Post Image

Baada ya kulazwa hospitali kwa muda wa siku tatu , muigizaji wa filamu za vichekesho Mzee Majuto ameruhusiwa na kurudi nyumbani kwake baada ya kufanyiwa upasuaji wa hernia (ngiri) mkoani Tanga. Akizungumza kwa njia ya simu mke wa Mzee Majuto Bi. Aisha Majuto amesema kwamba tatizo lililokuwa likimsumbua mumewe lilianza siku nyingi ingawa  kwa wiki […]

Read More..

He! Nisha kumbe Naye Yumo Buana

Post Image

STAA wa filamu nchini, Salma Jabu ‘Nisha’ amechomoa kupakaziwa kesi kwa Jacqueline Wolper juu ya kumponda kupenda kwake Serengeti boys (vijana wadogo kimapenzi), akifichua kuwa raha ya wapenzi wa aina hiyo anaijua vema. Nisha alitupia ujumbe kwenye akaunti yake ya Instagram ambayo ilitafsiriwa na mashabiki wake kama jiwe kwa Wolper, juu ya tabia yake ya […]

Read More..

Dude: Hali Ngumu Imenipoteza Nimeamua Kulim...

Post Image

STAA wa filamu za Kibongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ ameeleza kuwa kutokana na hali ngumu ya maisha na soko la filamu kuwa gumu amejikuta akiwa kimya na kugeukia kwenye kilimo cha mpunga. Akipiga stori na Risasi Jumamosi, Dude alisema hivi sasa hali imekuwa ngumu sana hasa kwa upande wa sanaa ya filamu jambo ambalo limemsababisha kuwa […]

Read More..

Mbasha Amuwashia Moto Flora

Post Image

Muimbaji wa muziki wa injili Emmanuel Mbasha ambaye aliwahi kuwa muwe wa Flora Mbasha amefunguka ya moyoni na kuwamuashia moto aliyewahi kuwa mke wake Flora ambaye siku za karibuni ameolewa na Daudi Kusekwa. Emmanuely Mbasha amewataka Flora pamoja na huyo mumeo mpya kutoendelea kumtaja taja na kumuhusisha kwenye mambo ambayo yeye hausiki nayo, na kusema […]

Read More..