-->

Flora Mvungi Anatarajia Kujifungua Mtoto wa Tatu

Mke wa msanii wa muziki H. Baba, Flora Mvungi anatarajia kujifungua hivi karibuni na kuipatia familia yake mtoto wa tatu.
Frola Mvungi akiwa hospitali
Flora Mvungi akiwa hospitali

Wana ndoa hao wenye watoto wawili, Tanzanite na Africa, wameshare picha katika mitandao ya kijamii zenye ujumbe kuhusu ugeni huo.

Kupitia instagram, H.Baba aliandika.

Asante mungu kwa kila jambo #watoto nifaraja nakuombea muda ukifika ujifungue salama nakupenda mke wangu (1)tanzaniteone (2)Africa (???????) . Nitafutie jina la mwanangu Wa (3) nimuite nani.

Kwa upande wa Flora Mvungi, aliandika

Hahahhahahahahhahaah nacheka kwa raha yaani nafuraha sana mana naona watu maneno yanawatoka kila kona..kwani kuzaa ni kosa?au kuna siku nimemuomba mtu hela ya kutunza wanangu??waja mna tabu sana,jamani hebu tusipangiane jinsi ya kuishi,,kingine siko nje ya ndoa na hata ingekuwa nje ya ndoa pia ni watoto wangu..mwakereka na nini??. Hhahaaaaaa yaani mtasema sana..

Frola Mvungi akiwa na watoto wake
Flora Mvungi akiwa na watoto wake

Chanzo:Bongo5

Comments

comments

Post Tagged with

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364