-->

Daily Archives: December 18, 2015

Snura Atoa Wazo Kuinua Filamu

Post Image

Msanii wa muziki Snura ambaye misingi ya kile anachokifanya imejengeka kutoka katika tasnia ya uigizaji ametoa maoni yake kuwa, tasnia ya filamu inaweza kuamishwa tena kwa kuhusisha visa kutoka rekodi za muziki ambazo zimefanya vizuri. Snura ametolea mfano wa rekodi yake ya Majanga ambayo anaamini kama ataifanyia filamu, itajenga hamu kubwa ya mashabiki kuitazama na […]

Read More..

Wastara Auza Vitu Vyake vya Ndani

Post Image

Inauma sana! Msanii wa filamu ambaye anasumbuliwa na tatizo na mguu, Wastara Juma inadaiwa hali aliyonayo kwa sasa si nzuri na kupata pesa ya matibabu imekuwa ngumu kwake hivyo ameamua auze baadhi ya vitu vyake vya ndani. Ndugu wa Wastara aliyeomba jina lake lisiandikwe gazetini alisema kuwa, msanii huyo anapitia kipindi kigumu kwani anahitaji pesa […]

Read More..

Picha: Zari All White Ciroc Party Jana Usi...

Post Image

Hizi ni baadhi ya picha za Zari All White Ciroc Party  iliyofanyika jana usiku kwenye club Guvnor jijin Kampala. Zari ambaye ni mpenzi wa Diamond Platinumz ndiye muhusika mkuu wa party hii ambapo watu maarufu  wa hapa Afrika mashariki walikuwepo akiwemo mwanadada Vera Sidika. Picha Kutoka @zarithebosslady on Instagram

Read More..

Filamu Ya ‘Chungu Cha Tatu’ Yamalizika ...

Post Image

Kopi za filamu mpya ya JB na Wema Sepetu, ‘Chungu Cha Tatu’ zilizoingia sokoni Jumatatu hii zimemalizika ikiwa ni siku tatu toka iachiwe. Akizungumza na Bongo5 Alhamis hii, JB alisema kasi ya mauzo ya filamu hiyo, ina kila dalili ya kuvunja rekodi ya filamu yake iliyopita Mzee wa Swagga. “Filamu inaenda vizuri sana, Jumatatu baada […]

Read More..

Mama Diamond, Wolper Wafunika Kwenye Je Uta...

Post Image

Kuna msemo usemao “experience is the best teacher”, msemo huu umekamilika kupitia mama mzazi wa msanii Diamond Platnums , baada ya kuigiza kama mama ambaye ana maisha magumu kupitiliza,huku akiwa ameuvaa uhusika vilivyo kupitia video mpya ya msanii huyo ambaye ni mwanae wa kumzaa huitwao, je utanipenda. Mama diamond, ni kati ya watu wachache waliotumika […]

Read More..