-->

Daily Archives: December 20, 2015

TANESCO Wataja Deni la Wema Sepetu Kufuatia...

Post Image

Shirika la Umeme nchini (TANESCO) limemkaba koo staa maarufu wa Bongo Movies , Wema Sepetu baada ya kubainika kutumia nishati ya umeme kwa njia zisizo halali. Hivi karibuni TANESCO walifanya ziara ya kushtukiza kwenye nyumba yake na kubaini kuwa muigizaji huyo anatumia umeme wao bure! Jana Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco, Eng. Felichesmi Mramba alizungumza na […]

Read More..

Wastara: Najuta Starehe Zimeniponza

Post Image

STAA wa filamu Bongo, Wastara Juma amesema kitu ambacho kimemponza na kumfanya asumbuliwe na mguu wake mara kwa mara ni kujisahau sana katika starehe kwa kuwa hajawahi kujikubali kuwa ni mlemavu. Akipiga stori na paparazi wetu Wastara alisema, tangu alipopatwa na tatizo hilo la mguu kwenye fikra zake hakutaka kukubali matokeo, siku zote alipenda aishi […]

Read More..

Picha: Diamond Akiwa na Watoto Wote wa Zari

Post Image

Kupitia kwenye mitandao ya kijamii mwanadada Zarinah Hassan ‘Zari the boss Lady’ ambaye ni mzazi mwenza wa mkali wa bongo fleva, Diamond Platinum alitupia picha hizi akiwa yeye, Tiffah na Diamond pamoja na watoto watatu wa zari ambao diaomond alimkutanao kuandika maeno kuashiria hiyo ndiyo familia. Hii ni kwama mara ya kwanza kwa diamond kupiga […]

Read More..

BABA HAJI: Bila Haya Tasnia ya Filamu Itayu...

Post Image

Mwigizaji Haji ‘Baba Haji’ Adam amesema soko la filamu lipo isipokuwa limekosa msisimuko kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo baadhi ya wasanii kukosa ubunifu na kutunga kazi zisizokuwa na ubora. Kauli hiyo ya Baba Haji inatofautiana na za baadhi ya wasanii wenzake ambao wamekuwa wakilalamikia kukosekana kwa soko hilo huku wakitaja sababu kadhaa. Anazitaja baadhi ya […]

Read More..

Mara nyingi kwenye ulimwengu wa mapenzi iko...

Post Image

“Mara nyingi kwenye ulimwengu wa mapenzi iko hivi….A anampenda B na wako wote…lakini B moyo wake uko kwa c…ni mara chache sana kupata couple zenye usawa katika kupenda…unapompenda mtu hasa ss wanaume huwa tuna tumia kila njia kuhakikisha tunammiliki..tunajaribu kuwa waugwana…wakali na wakorofi..hata na pesa kuhakikisha tuna wamiliki wapenzi wetu..lakini mapenzi sio kumiliki bali kumfanya […]

Read More..