-->

Daily Archives: December 22, 2015

Aunt: Mdogo wa Cookie Anakuja Soon!

Post Image

Staa maarufu wa filamu Bongo, Aunty Ezekiel amefungua kinywa chake na kusema kuwa kwa sasa yuko kwenye mchakato wa kumtafuta mdogo wake na Cookie kwa kuwa hataki kukaa muda mrefu ili kupata mtoto mwingine. Akizungumza na mwandishi wa habari hii hivi karibuni Aunty,alisema kuwa ameamua kufanya hivyo kwa kuwa anaona kuzaa mapema na kumaliza ndiyo […]

Read More..

Hapa Ndipo Utakapomuona Wema Septu Akipika ...

Post Image

Kwa mara ya kwanza kama unataka kumshuhudia staa mrembo wa Bongo Movies, Wema Sepetu akifanya yake jikoni basi utamuona hapa. “This week ntakua Jikoni na my Dada Marion- Alhamis 24th December at 7pm Dstv Maisha Magic Bongo (Channel 160). An Exclusive Interview and Cooking section”-Wema ameandika kwenye ukurasa wake mtandaoni baada ya kutupia picha hizi […]

Read More..

Diamond Afunguka Kutotokea Kwenye Zari All ...

Post Image

Diamond Platnumz alikuwepo, Kampala, Uganda usiku ambao Zari alikuwa akifanya party yake ya All White lakini hakutokea. Ex wa Zari, Ivan Ssemwanga na wapambe wake walikuwepo. Watu walihisi kuwa Diamond aliogopa kwenda kumpa kampani mama wa mtoto wake Tiffah ili kuepusha shari na kambi ya Rich Gang ya Ivan. Hata hivyo muimbaji huyo wa Utanipenda […]

Read More..

Filamu ya ‘Going Bongo’ Mzuka

Post Image

ILE Filamu kubwa ya Going Bongo imepokelewa vizuri na wapenzi wa filamu kwa kukusanya watu wengi wakiwemo wasanii nyota kutoka viunga vya Bongo sinema hiyo ambayo imerekodiwa katika kiwango cha kimataifa ilirushwa katika ukumbi wa sinema wa Cinemax Mlimani City na kuteka watazamaji. Mmoja wa wasanii nyota katika vichekesho Masanja Mkandamizaji alisifia ubora wa sinema […]

Read More..

Picha: Jionee Mafuriko, Diamond Akiwa Soko ...

Post Image

Mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platimumz mapema leo alikuwa viwanja vya soko la karume jiji Dar  akitambulisha show yake ya Darlive siku ya tarehe 25,ambapo pia aliimba kidogo na kugawa CD za wimbo wake mpya wa UTANIPENDA. Hizi ni baadhi ya picha za tukio hilo.

Read More..

Shamsa Amvulia Kofia Irene Uwoya

Post Image

MSANII wa filamu nchini, Shamsa Ford, amesema katika wasanii ambao anawakubali kutokana na ubora wa kazi zao mmojawapo ni Irene Uwoya. Shamsa alisema msanii huyo anajua nini anachofanya na anapenda kupeana ushauri na kushirikiana katika mambo mbalimbali na wenzake. Shamsa aliyasema hayo alipokuwa akimkabidhi zawadi Irene katika sherehe yake ya kuzaliwa iliyofanyika mwishoni mwa wiki […]

Read More..