-->

Daily Archives: December 28, 2015

Odama: Hakuna wa Kuniondolea Heshima Yangu

Post Image

Staa wa Bongo Movies, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amesema kuwa tangu alipoingia katika usanii kitu kikubwa alichokuwa akikilinda ni heshima yake na si kitu kingine hivyo anayejaribu kuishusha afanye kazi ya ziada. Akizungumza na mwandishi wa habari hii, Odama alisema kuwa tangu ameanza kuwa msanii alijitahidi sana kuilinda heshima yake ndiyo maana watu wengi wanapenda kumjua […]

Read More..

Wanamuziki wa Bongo Wafanya Semina

Post Image

Wanamuziki wa Bongo flava, Dansi na Taarab leo wanafanya semina ya kujadili juu ya ubora wa kazi zao za muziki (mastering) ili uweze kufanana na miziki mingine ya nje ya Tanzania, mdau mkubwa wa muziki Bongo Babu Tale alifungua semina hiyo kwa kuongelea suala hilo kwa undani zaidi juu ya Wanamuziki wa Bongo kujijenga vizuri […]

Read More..

Hivi Ndiyo Wema na Jokate Walivyopokelewa S...

Post Image

Mkali wa Bongo Fleva, Ali Kiba juzi pande za Escape One, Mikocheni alifanya shoo ya kuwaaga mashabiki wake kwa mwaka 2015 na kuukaribisha mwaka Mpya 2016 ambapo aliitambulisha rasmi bendi yake mpya iitwayo 4RealDancers. Shangwe kubwa lilisikika pale  ambapo King Kiba alipowa ‘surprise’ mashabiki wake  kwakuwapandisha stejini mastaa warembo, Wema Sepetu na Jokate ‘Kidoti’ kama […]

Read More..

Baba Haji Adai Anasakwa Auawe!

Post Image

Roho mkononi! Mwigizaji wa Bongo Movies, Haji Adam ‘Baba Haji’ ameviomba vyombo vya dola, TCRA na Rais John Pombe Magufuli kumsaidia akidai kwamba anasakwa auawe na kundi lisilojulikana. Akizungumza na Ijumaa Wikienda kwa njia ya simu akiwa mafichoni, Baba Haji alifunguka kuwa amekoswakoswa mara kadhaa kutiwa mikononi na watu hao wanaoonekana kuwa na nia mbaya […]

Read More..

Haya Ndiyo Yaliyobamba 2015

Post Image

Unaweza kuuelezea 2015 kama mwaka wa pilika nyingi kutokana na kuwapo kwa matukio mbalimbali katika nyanja za kijamii, kiuchumi na hata kisiasa. Imeshuhudiwa shughuli kadhaa katika siasa kama vile Uchaguzi Mkuu, lakini kwa upande wa kijamii hususan burudani, yapo mambo mengi yaliyotokea pengine kuweka historia katika tasnia hiyo. Tuzo kwa wasanii Mchango wa wasanii wa […]

Read More..

JB:Ubora wa Filamu Kwanza,Pesa Baadae

Post Image

Staa mkongwe wa Bongo Movies, Jacob Steven ‘JB’ amesema anachoangalia kwenye kazi yake ni kutengeneza filamu zenye ubora kuliko pesa atakayoipata kwenye mauzo ya filamu yenyewe. ‘’Wakati mwingine nakuwa kama kichaa nikitengeneza movie zangu siangalii namna ambavyo nitapata faida kubwa,naangalia jinsi ambavyo naweza kutengeneza kitu kizuri,naaamini katika maisha kuacha historia bora kuliko kitu chochote,hadi sasa […]

Read More..