-->

Daily Archives: March 8, 2016

Wasanii Watoa Neno Siku ya Wanawake Duniani

Post Image

IKIWA leo ndiyo maadhimisho ya Siku ya Wanawake duniani, wasanii wa kike wameeleza mambo mbalimbali kuhusiana na siku hiyo huku wakiwataka wanawake wenzao kuwa na msimamo katika kuendesha maisha yao. Anty Ezekiel Mwigizaji huyo wa filamu za Bongo amewataka wanawake wenzake waache utegemezi kwa wanaume wao. “Kuna biashara nyingi za kufanya, unaweza kuuza hata vitumbua […]

Read More..

Lupita: Malengo Yangu Hayajakamilika Bado

Post Image

MKALI wa filamu nchini Marekani, Lupita Nyong’o, amedai kwamba japokuwa amepata mafanikio makubwa katika filamu, bado malengo yake hayajakamilika. Msanii huyo alifanikiwa kutwaa tuzo za Oscar mwaka 2015, lakini amesisitiza kwamba lengo lake ni kuwa msanii mkubwa duniani kama ilivyo kwa wasanii wengine. “Nimekuwa na mafanikio makubwa kutokana na filamu, lakini ninaamini bado malengo yangu […]

Read More..

Picha: Mapokezi ya Lulu Uwanja wa ndege wa ...

Post Image

Picha za mapokezi za Mshindi wa Tuzo ya AMVCA2016 kipengele cha Movie bora ya Afrika Mashariki elizabeth michael ‘Lulu’ wakati akiwasili kwenye Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Dar es Salaam (JNIA) akitokea Nigeria.

Read More..

JB Azungumzia Mkakati Wake wa Kuibua Watu W...

Post Image

Muigizaji na mkurugezi wa kampuni ya Jerusalem films, Jacob steven alizungumza mkakati huo wa kampuni yake  alipokuwa akizungumzia filamu yake ya chungu cha tatu kwenye kipeindi cha ulimwengu wa filamu. Msikilize hapa Part 1 Part 2

Read More..

Mzee Yusufu: Wake Zangu Marufuku Kutumia In...

Post Image

WAKATI wanawake duniani kote leo wakiadhimisha siku ya wanawake duniani, wake wa mkurugenzi wa kundi la Jahazi Modern Taarabu, Mzee Yusufu, Leila Rashid na Chiku wamekatazwa kutumia tena mtandao wa Instagram. Wanawake hao wamekatazwa kutumia mtandao huo na endapo watatumia kwa siri mume wao huyo amewaeleza kwamba ndiyo itakuwa talaka yao. Mzee Yusufu amechukua uamuzi […]

Read More..

Kuvunjika Ndoa ya Rayuu, Mashehe Waingilia ...

Post Image

Baada ya uvumi kuwa staa wa filamu Bongo, Alice Bagenzi ‘Rayuu’ ameachika kwenye ndoa yake ambayo imedumu kwa siku nne tu huku chanzo kikiwa ni familia ya mwanaume, hatimaye mashehe wameamua kuingilia kati kuinusuru ndoa hiyo. Februari 26, mwaka huu, Rayuu alifunga ndoa na mwanaume mwenye asili ya Kiarabu, Ahmedi Said lakini siku ya nne […]

Read More..