-->

Daily Archives: March 9, 2016

Aunt Ezekiel: Tunajenga Kwanza Ndani Ndio T...

Post Image

Kutokana na kusuasua kwa hatua za tasnia ya filamu Bongo kuingia katika soko la kimataifa, nyota wa filamu Aunt Ezekiel amesema kuwa zipo jitihada zinafanyika sasa kuweka mambo sawa katika soko la ndani ambalo limeshuka, kama msingi wa safari hiyo. Aunt ambaye hakufafanua mikakati yenyewe, ameeleza kuwa itakuwa ni uongo pale kufanya jitihada za kwenda […]

Read More..

Lulu: Tuzo Hii ni Mpango wa Mungu, Kutokana...

Post Image

Mshindi wa tuzo ya Best Movie-East Africa, Elizabeth Michael ‘Lulu’ alieleza hayo mara tu baada ya kutua Dar-es-salaam akitokea Lagos Nigeria na tuzo yake. ‘’Kila kitu ambacho kinatokea sasa hivi nakiweka ‘in a way’ zaidi ya mpango wa Mwenyezi Mungu nisingepitia ambavyo nimepitia katika maisha yangu nisingeenda Africa Magic ,ningekuwa labda nimeshakufa au nimeshaacha kuigiza […]

Read More..

Rekodi Yangu Haitavunjwa – Mr. Nice

Post Image

Mr. Nice ameyasema hayo wakati akizungumza kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Radio na kusema kuwa kwa sasa kazi anazofanya ni kwa ajili tu ya mashabiki wake, ili asiwapoteze lakini hahitaji hata promo. “Ninachojaribu kukifanya hapa ni kwamba naendelea kuwa mwanamuziki kwa sababu sasa hivi sitafuti promo ya aina yoyote, the only […]

Read More..

JB: Soko la filamu za Bongo Halijafa

Post Image

Muigizaji Jacob Stephen ‘JB’amefungyuka haya kuhusu soko la filamu na tasnia kwa ujumla. ’Nakataa soko la filamu halijafa,limesinzia na kuna sababu kubwa sana watu wengi hawajui kwanini imesinzia,filamu sasa hivi inatakiwa ipelekwe ‘next stage’ kitu chochote kikitakiwa kitoke hapo kilipo na kwenda sehemu nyingine kinakuwa kama kinakufa mf,kuna wakati Fulani Bongo Fleva walikuwa na hali […]

Read More..

Mwamuzi wa Kike Jonesia wa Tanzania Achakug...

Post Image

Mwamuzi wa kike wa Kimataifa wa Tanzania mwenye beji ya FIFA, Jonesia Rukyaa ameteuliwa kuungana na waamuzi kutoka nchini Kenya kuchezesha mchezo wa kuwania kufuzu kwa Fainali za Kombe la Dunia kwa Wanawake wenye umri chini ya miaka 17 (WWC-Q 17) mwishoni mwa mwezi huu. Jonesia Rukyaa atakua mwamuzi wa akiba katika mchezo huo kati […]

Read More..

Tuzo ya Lulu Yamliza Mama Kanumba

Post Image

Tuzo ya Mtayarishaji Bora wa Filamu Afrika Mashariki, iliyotwaliwa na Mbongo, chozi mama wa aliyekuwa nyota wa filamu Bongo, marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa, tambaa na Risasi Mchanganyiko liujaze moyo wako. Kwa mujibu wa chanzo kilicho karibu na mama Kanumba, muda mchache baada ya Lulu kutangazwa na waandaaji wa tuzo ambao ni African Magic Viewers […]

Read More..