-->

Daily Archives: March 18, 2016

Da Zitta: Filamu za Bongo Zinalipa

Post Image

MAPRODYUZA wanaochipukia katika tasnia ya filamu wengi wao hawafikii malengo waliyojiwekea kutokana na kukatishwa tamaa na baadhi ya wasanii na maprodyuza wenye majina makubwa ambao wanaogopa changamoto za maprodyuza wapya. Lakini licha ya maprodyuza na wasanii wenye majina makubwa kuwahadaa wasanii na maprodyuza wanaochipukia katika tasnia hiyo wengi wao si wadadisi na hukata tamaa haraka. […]

Read More..

Watoto wa Mastaa wa Bongo Wanaotabiriwa Kuj...

Post Image

Kila mtoto anapozaliwa huanza kumuangalia mzazi wake kama ni role model wake, lakini baadaye wengi huanza kubadili mawazo yao. Mastaa wa Bongo wameanza kuwatengenezea mazingira watoto wao ya kutembelea nyota za wazazi wao ili watengeneze hela kuanzia sasa mpaka hapo baadaye. Hawa ni baadhi ya watoto wa mastaa wanaotabiriwa kuja kuwa mastaa baadaye, wengine wanaweza […]

Read More..

Johari Alia na Watayarishaji Wadogo wa Fila...

Post Image

MSANII nguli katika tasnia ya filamu Bongo Blandina Chagula ‘Johari’ amewatolea uvivu watayarishaji wadogo kama ndio chanzo cha kudorora kwa tasnia ya filamu Bongo kwani wamekuwa wakitumia bajeti ndogo katika utengenezaji wa Filamu na kulipua kazi zao. “Niseme ukweli tu watayarishaji wadogo wanaua tasnia ya filamu kwa kukurupuka bila kujipanga hauwezi kutengeneza filamu nzuri kwa […]

Read More..

Jux Asema Hataki Maswali ya Vanessa na Jack

Post Image

Jux ameweka wazi hisia zake hizo baada ya kufanyiwa mahojiano na eNewz ambapo alisema kuwa yeye pia ni mwanamuziki kama ilivyo kwa Vanessa Mdee na kusema kuwa imejengeka kuwa kila interview anayoifanya ni lazima watu wamuulize kuhusu uhusiano wake na Vanessa na kwasasa imeibuka ya kumuuliza juu ya Jack Cliff. Jux alishawahi kuwa kwenye mahusiano […]

Read More..

Paul Makonda ‘Awatumbua’ Bongo Muvi

Post Image

Wasanii wa filamu Bongo, Jacob Steven na Ester Kiama juzikati walinaswa wakiwa kimahaba gizani, jambo lililoibua maswali mengi. Tukio hilo lilitokea nje ya Hoteli ya Rodizio iliyopo maeneo ya Masaki jijini Dar ambapo wasanii mbalimbali walifika kwenye pati ya kumpongeza Mheshimwa Paul Makonda kwa kuchaguliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar. Awali, mishale ya saa […]

Read More..

Diamond Akanusha Kumpima Tiffah DNA

Post Image

Mkali wa muziki wa Bongo fleva hapa nchini, Nasib Abdul aka Diamond Platnumz, amekanusha tetesi zakwenda kumpima mtoto wake Latiffah ‘Tiffah’ vinasaba ‘DNA’ ili kupata uthibitisho wa kuwa ni mwanawe au sio mwanae. Diamond amezungumza hayo baada ya kufanyiwa mahojiano na eNewz kuhusiana na tetesi hizo ambapo alikanusha suala hilo, Diamond Anasema kumpima mtoto wako […]

Read More..