-->

Daily Archives: March 26, 2016

Day After Death ya Wema na Van Vicker kuish...

Post Image

Wema Sepetu ni bingwa wa kutumia gharama kubwa kufanya filamu na kutengeneza kiu kubwa kwa mashabiki wake halafu then mradi unageuka kuwa kama album ya Detox ya Dr Dre, ambayo haijawahi kutoka hadi leo. June 2012: Muigizaji wa Nigeria, Omotola Jalade akiwa na Wema baada ya kuwasili kutoka Nigeria kuhudhuria uzinduzi wa filamu ya Superstar […]

Read More..

Dudu Baya: Watu Mfano wa Chidi Benz Hawatak...

Post Image

Baada ya rapa Chidi Benz kuomba msaada ili asaidiwe kuirudisha afya yake ambayo imethorofika kutokana na matumizi ya Madawa ya kulevyana na baadae kusaidiwa na Babu Tale kwa kupelekwa rehab. Wadau mbalimbali pamoja na wasanii wenzake walimpongeza Babutale lakini Dudu Baya amedai hakupenda rapa huyo asaidiwe. Akizungumza na Bongo5 Jumamosi hii, Dudu amedai rapa huyo […]

Read More..

Kuvaa Nusu Utupu Natangaza Brand- Vanessa M...

Post Image

Msanii wa muziki wa bogno fleva ambaye anafanya poa katika anga za kimataifa Vanesa mdee, amefunguka sababu ya yeye kupenda kuvaa nguo za nusu utupu. Akiwa kwenye kipindi cha Friday Night Live kinachorushwa na East Africa Radio na EATV, Vanessa Mdee amesema anapenda kuvaa mavazi hayo ambayo hayakubaliki kwa jamii, kwa sababu anatangaza brand yake, […]

Read More..

Alikiba Si Mtu Mzuri- Hakeem 5

Post Image

Msanii Hakeem 5 ambaye alitambulika katika muziki baada ya kufanya Collabo na msani Ali Kiba kwenye wimbo wa ‘Nakshi Mrembo’ amefunguka na kusema kuwa msanii Ali Kiba si mtu mzuri na wala hana muda nae kwa sasa. Akipiga stori kwenye kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio ambapo leo alipewa heshima ya Bongo fleva, […]

Read More..

Umaarufu Unavyomtesa Jini Kabula

Post Image

TAMTHILIA ya Jumba la Dhahabu ndiyo iliyomtambulisha Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ kwenye tasnia ya filamu kutokana na uigizaji wake mzuri. Jina la Jini Kabula lilitokana na kuigiza kama joka kubwa,uwezo mkubwa alioutumia katika kuigiza tamthilia hiyo iliwafanya watu wengi waamini kwamba yeye ni jini kweli. Katika hali ya kusikitisha, Jini Kabula alionekana hakuridhika na umaarufu […]

Read More..

Zari Adaiwa Kumpa Makavu Kajala

Post Image

Kufuatia madai kuwa msanii wa filamu Bongo, Kajala Masanja amekuwa na katabia ka’ kujiweka kimahaba kwa Nasibu Abdul ‘Diamond’ wakati Zarinah Hassan ‘Zari’ akiwa Sauzi, madai yametua mezani mwa gazeti hili kuwa, kimenuka kati ya Zari na Kajala. Chanzo chetu makini ambacho kimeomba jina lake lisitajwe gazetini kimedai kuwa, hivi karibuni baada ya Zari kupata […]

Read More..