-->

Daily Archives: March 30, 2016

Harmonize Atamani ‘Levo’ za Diamond

Post Image

MSANII wa muziki wa Kizazi Kipya Bongo, Rajab Abdulhan ‘Harmonize’ amefunguka kuwa anatamani kuona anakuja kuongoza kundi la wasanii kama ilivyo kwa bosi wake, Nasibu Abdul ‘Diamond’ ambaye anamiliki Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB). Harmonize, ambaye anatikisa kwenye stesheni mbalimbali za redio na runinga hapa nchini na ngoma yake ya Bado, aliompa shavu Diamond […]

Read More..

Juma Nature Adai Mshindani Wake Kwenye Muzi...

Post Image

Msanii mkongwe wa muziki, Juma Nature amedai msanii pekee ambaye anaweza akashindana naye kwa sasa ni Diamond. Akizungumza na tovuti ya Times Fm, Juma Nature ameomba wadau kuandaa tamasha ili washindanishwe. “Watu wanamtukuza sawa lakini watuweke stage moja tuone nani atakamua, unajua tuseme ukweli bongo flava sasa mimi na Diamond ndio wapinzani pekee,” alisema Juma […]

Read More..

Lady Jaydee Kula na Mashabiki Wake

Post Image

MKALI wa wimbo wa ‘Ndi ndi ndi’, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’, ameonyesha kuwateka mashabiki wake kwa kuchagua video tatu nzuri wanazomtumia kisha anakwenda kula nao chakula cha jioni na kuwa nao katika matukio yake makubwa ya kimuziki. Katika maelezo yake aliyoweka katika ukurasa wake wa facebook, Jay Dee aliandika kwamba waliomtumia video wakiwa wanaimba wimbo […]

Read More..

Ray C wa Sasa Sio Kama wa Kipindi Kile R...

Post Image

Msanii Ray C amevijia juu vyombo vya habari vianvyoandika taarifa za uongo juu yake, kuwa amerudia kutumia madawa ya kulevya, na kuahidi safari hii atavifikisha mahakamani.   Katika ukurasa wake wa instagrama Ray C ameandika ujumbe mrefu kuhusu vyombo vya habari vinavyomchafua, na kwamba wana mpango wa kukwamisha harakati zake za kupambana na madawa ya […]

Read More..

Vanessa amfungukia laivu Jack Patrick!

Post Image

Baada ya kumkwapua Juma Mussa Mpolopoto ‘Jux’ aliyekuwa mpenzi wa modo Jacqueline Fitzpatrick ‘Jack Cliff’ kisha modo huyo kufungwa kwa msala wa madawa ya kulevya nchini China, mtoto mzuri wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ‘V-Money’ ameibuka na kumzungumzia ‘mtalaka’ huyo wa Jux. V-Money alimfungukia modo huyo mwishoni mwa wiki iliyopita alipokuwa akifanya mahojiano maalum (exclusive) […]

Read More..