-->

Daily Archives: April 1, 2016

Davina: Naanzaje Kwenda kwa Sangoma kwa Mfa...

Post Image

Staa wa Filamu za Kibongo, Halima Yahaya ‘Davina’ juzikati alimjia juu mmoja wa mashabiki wake aliye-comment kwenye ukurasa wa msanii huyo wa Instagram kuwa alimuona akiingia kwa mganga wa kienyeji maeneo ya Kawe jijini Dar. Davina alisema, amejikuta akiumia sana kwani yeye si mtu wa mambo hayo huku akihoji anaanzaje kwenda kwa sangoma wakati imani […]

Read More..

Sina Tatizo na Hakeem 5 – Ali Kiba

Post Image

Msanii Alikiba ametolea ufafanuzi tuhuma zilizotolewa na msanii mwenzake hakeem 5, huku akisema hataki hata kumuona kwani si mtu mzuri na amekataa kufanya naye colabo. Ali Kiba ameyasema hayo alipokuwa akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na east africa Radio, na kusema kwamba yeye binafsi hana tatizo na Hakeem 5, kwani yeye ni kama […]

Read More..

Kwenye Muziki Uchawi Upo -Said Fella

Post Image

Meneja wa Kundi la Yamoto Band Said Fella ‘Mkubwa Fella’ amesema anakubali kwenye tasnia ya muziki hapa nchini uchawi pia upo. Fella ameyasema hayo katika kipindi cha eNews kinachorushwa na EATV siku ya Jumatano baada ya msanii wa bendi ya Jordan inayopiga nyimbo za injili kusema kwamba kwenye muziki wa Bongo Fleva masuala ya ushirikina […]

Read More..

Waziri Nape Anunua Albamu Kwa Sh Mil 3

Post Image

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye, amenunua nakala moja ya albamu ya Injili ya msanii na prodyuza, Goodluck Gozbert, kwa Sh milioni 3 kutokana na kuguswa na ujumbe uliopo katika albamu hiyo. Waziri huyo alinunua albamu hiyo wakati wa uzinduzi wa albamu hiyo ya kwanza ya msanii huyo iliyopewa jina la ‘Ipo […]

Read More..

Nuh Ammwaga Mrithi wa Shilole

Post Image

MKALI wa Bongo Fleva, Naftari Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ amefunguka kuwa, amemmwaga mpenzi wake aitwaye Erah Erah licha ya kwamba penzi lao lilitawaliwa na mbwembwe nyingi. Akipiga stori na paparazi wetu kuhusiana na maendeleo ya penzi lao, Nuh alifunguka kuwa demu huyo haikuwa riziki kwake kwani hakudumu naye baada ya kugundua hamfai na penzi lao limedumu […]

Read More..

Filamu ya Xballer Kuchuja Wasichana wa Kuig...

Post Image

WASICHANA wenye uwezo wa kuigiza wametakiwa kuchangamkia fursa kwa kujitokeza kwa wingi katika usaili wa filamu mpya ya ‘XBaller’, utakaofanyika kesho katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, jijini Dar es Salaam. Mratibu wa usaili huo ambaye ni Mtanzania anayeishi nchini Marekani, Ernest Napoleon, alisema usaili huo utaanza saa 5:00 asubuhi. Ernest, ambaye pia ni mshindi […]

Read More..