-->

Daily Archives: April 2, 2016

Shamsa: Nusura Niharibike Ubongo kwa Kipigo

Post Image

Staa wa filamu Bongo, Shamsa Ford amefunguka kuwa amekutana na kipigo cha mara kwa mara kipindi anaishi na baba mtoto wake Dickson Matok ‘Dick’ kiasi ambacho alikuwa akikaribia kupata athari kwenye ubongo. Akizungumza na mwandishi wa habari hii hivi karibuni, Shamsa alisema kuwa amenusurika kumpoteza mtoto wake akiwa tumboni kutokana na mitama aliyokuwa akipigwa na […]

Read More..

Odama: ‘Mkwe’ Imezingatia Maoni ya Mas...

Post Image

Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Jennifer Kyaka ‘Odama’ ametambulisha ujio wa filamu yake mpya inayokwenda kwa jina la MKWE ambapo ameleza kuwa imezingatia maoni ya mashabiki zake. Kupitia ukurasa wake mtandaoni, Odama ameandika haya mara baada ya kuweka picha ya kasha la filamu yake hiyo hapo juu. Ndugu Zangu, Jamaa, Mashabiki, Team Pamoja Na Wapenzi […]

Read More..

Mama Afunguka Aunt, Iyobo Kuachana!

Post Image

MAMA aliyejitambulisha kuwa ni mama mzazi wa dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond’ Moses Iyobo, amefungukia habari iliyozagaa mitandaoni kuwa mwanaye ameachana na mzazi mwenziye, mwigizaji Aunt Ezekiel kwa kusema habari hizo si za kweli. Mapema wiki hii, kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii, iliandikwa kuwa Moses amemwaga Aunt na kuamua kuondoka nyumbani walipokuwa wakiishi na Aunt […]

Read More..

Chege Kuvunjika TMK Wanaume, Mh Jakaya Alih...

Post Image

Msanii kutoka kundi la Wanaume Family, Chege Chingunda amefunguka na kusema kuvunjika kwa kundi la ‘Wanaume TMK Familiy’ kulimuuzunisha mpaka aliyekuwa Rais wa awamu ya nne ya Tanzania Mh. Jakaya Kikwete. Akizungumza kwenye kipindi cha MKASI kinachorushwa na EATV Chege alisema kuwa Rais Kikwete aliwaambia kuwa amehuzunishwa sana na kitendo cha kundi hilo kuvunjika kwani […]

Read More..

Picha: TRA Wanaipiga Mnada Range Rover Evoq...

Post Image

Gari aina ya Range Rover Evoque 504 ambayo Wema Sepetu alijizawadia kwenye birthday yake mwaka jana inapigwa mamlaka ya mapato tanzania (TRA) baada ya hivi karibuni mamlaka hiyo  wanaishikilia gari hiyo kwasababu iliingizwa nchini bila kulipiwa kodi na kwakuwa ushuru wake ni takriban nusu ya gharama yake, Wema ameshindwa kuikomboa. Ipo mnadani kwa  bai ya takriban shilingi […]

Read More..

Sijawahi Kutoka na Nisha -Baraka de Prince

Post Image

Msanii Baraka de Prince ambaye kwa sasa anafanya poa na ngoma yake ya ‘SIWEZI’ na ambaye amedondoka kwenye penzi la msanii mwenzake Najma Datan amefunguka na kusema kuwa katika maisha yake yeye hajawaji kutoka kimapenzi na msanii wa filamu nchini Salma Jabu alimaarufu kama ‘Nisha’. Akiongea kwenye kipindi cha Friday Night Live, Baraka de Prince alisema […]

Read More..