-->

Daily Archives: April 9, 2016

AMINI Atoboa Kile Kinacho Sababisha Wasanii...

Post Image

ALIYEWAHI kuwa mchumba wa msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Linah Sanga, Amini Mwinyimkuu ‘Amini’ amesema makundi mabaya wanayokuwa nayo baadhi ya wasanii ndiyo yanayowaingiza katika matumizi ya dawa za kulevya Msanii huyo anayetamba na wimbo wa ‘Hawajui’ alisema wasanii wengi hawajitambui kutokana na makundi waliyonayo, ndiyo maana hushindwa kusimamia hata kazi zao za muziki […]

Read More..

Steve Nyerere Kutoa Movie Moja tu Mwaka Huu

Post Image

Mchekeshaji na staa wa Bongo Movies, Steve Nyerere ameibuka na kusema mwaka huu atatoa filamu moja tu. Steve Nyerere amesema anawashangaa wasanii wanaotoa movie nyingi lakini hazina ubora. Amesema “Kuna watu wanatoa movie mpaka tatu kwa mwaka lakini zote ni mbovu”. Steve ameahidi kuwa movie hiyo atakayoitoa itakuwa ni kali sana. Steve aliongea hayo na […]

Read More..

MUSA Banzi: Waansishi na Waongozaji wa Fila...

Post Image

Musa Banzi anaumizwa na kitendo cha wasanii kupewa credit badala ya credit hizo kupewa waandishi wa filamu na waongozaji.   Banzi amewahi kuandika filamu zilizowahi kufanya vizuri kama vile ‘Shumileta’, ‘Odama’ na nyingine nyingi. Akizungumza kwenye kipindi cha E-News, kinachoruka kupitia EATV, Banzi alisema, ‘Siku hizi wasanii ndiyo wanaopewa credit kwenye movie badala ya madirector […]

Read More..

Dudubaya; Hili la Chid Benz Unakosea Sana B...

Post Image

GODFREY Tumaini ndilo jina lake la kuzaliwa, lakini Bongo Fleva inamtambua zaidi kama Dudubaya, ingawa mwenyewe alijitahidi kwa kila hali kujiita Duduzuri bila mafanikio. Dudubaya ni mmoja kati ya ma-legend wa muziki huu wa Kizazi Kipya. Ingawa naye aliwakuta watu ambao tayari walikuwa wameshaweka majina yao katika muziki huu, lakini bado yupo katika orodha ya […]

Read More..

Ndanda Kosovo Afariki Dunia

Post Image

Msanii wa muziki wa dansi Ndanda Kosovo amefariki dunia asubuhi ya leo katika hosptali ya taifa ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu. Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa mwanamuziki mwenzake Kardinal Gento, Ndanda alikuwa akisumbuliwa na matatizo ya vidonda vya tumbo, maradhi yaliyopelekea kulazwa katika hospitali ya Mwananyamala Dar es salaam. Kardinali ambaye pia ni mjomba […]

Read More..

Shamsa Amsweka Lupango Mzazi Mwenziye

Post Image

STAA wa filamu Bongo, Shamsa Ford juzikati amemsweka lupango mzazi mwenziye Dick Matoke, katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay kwa kile kinachodaiwa kuwa mzazi mwenzake huyo kuwa na tabia ya kumtukana mara kwa mara akishirikiana na mpenzi wake wa sasa ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja. Kwa mujibu wa chanzo makini, Dick na mwanamke […]

Read More..