-->

Daily Archives: April 12, 2016

Amini Amenibadilisha Kimuziki – Peter...

Post Image

Msanii Peter Msechu amefunguka na kusema kuwa yeye saizi kuanza kufanya vizuri kwenye muziki ni kutokana na kufanya collabo na baadhi ya wasanii kama Amini na amekiri wazi kuwa Amini ndiye ameweza kumfanya atambue watanzania wanapenda nini. Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio, Peter Msechu amesema kuwa mafanikio ya yeye kuanza […]

Read More..

Bongo Movies Premier: Filamu Kibao Kuonyesh...

Post Image

Kwa mara ya kwanza  Steps Entertainment inakuletea Bongo Movies Premier,  filamu za  kibongo zitazinduliwa kiwa kuonyeshwa kwenye big screen kabla ya kuingia sokoni. Wasanii mbalimbali wakiwemo viongozi wanatarajia kuudhulia katika uzinduzi wa filamu mpya ya MKWE ambayo imechezwa na waigiza Odama, Taiya Odera, Muntrah na Hemedi  pamoja na filamu ya NAJUTA SHAMSI ambayo imeshirikisha wasanii […]

Read More..

Ommy Dimpoz: Tafuta Hela Ndo Utajua Kama We...

Post Image

Mkali wa Bongo Fleva Ommy Dimpoz ameandika hayo kwenye ukurasa wake wa instagram mara baada ya kuweka picha hii. “Tafuta Hela Ndo Utajua kama wewe ni Handsome au Beautiful? #MondayMotivation” -Ommy Dimpoz. Neno moja kwake  

Read More..

Video Mpya ya Mpoto na Banana ya Wimbo wa K...

Post Image

Ni kampeni ya usafi ambayo imeandaliwa na mkuu wa mkoa Dar es salaam Paul Makonda

Read More..

Alikiba Afunguka ‘Kummiss’ Dada...

Post Image

Msanii wa bongo fleva Alikiba amefunguka na kusema kuwa kuna wakati huwa anamkumbuka sana msanii wa kike ambaye ni dada wa msanii Diamond Platnumz Queen Darleen. Ikumbukwe kuwa msanii Alikiba kipindi cha nyuma aliwahi kufanya kazi na msanii Queen Darleen na walikuwa na ukaribu wa hali ya juu kiasi kwamba wapo watu walihisi kuwa labda […]

Read More..

Nilisingiziwa Mtoto Anafanana na Diamond &#...

Post Image

Mchekeshaji maarufu nchini Idris Sultan amefunguka na kusema kuwa alipotoka kwenye mashindano ya Big Brother Africa alipotua nchini Tanzania alisingiziwa kuwa na watoto watatu na mwanamke mmoja wa Mtwara alimleta mpaka mtoto mwenyewe kwake.   Akizungumza kupitia kipindi cha ‘Mkasi’ kinachorushwa na EATV Idris Sultan alisema alivyoletewa mtoto alibaki akishangaa na alivyomwangalia vizuri yule mtoto […]

Read More..

Gabo Awapa Makavu ‘Matipwatipwa’ wa Bon...

Post Image

Staa wa Filamu Bongo, Salim Ahmed ‘Gabo’ juzikati aliwachana mastaa wa kike wa filamu Bongo kuwa wengi wao hawafai kuigiza scene muhimu kwa sababu wamejiachia na kuwa matipwatipwa. Akipiga stori na Ijumaa, Gabo alisema anawashangaa mastaa wanaolalamika kutopewa nafasi za kuigiza kwa sasa akidai kuwa sababu kubwa ya kuchuniwa ni kuchuja kwao na kutoendana na […]

Read More..

Shamsa Ford Afurahia Kurudiana na Ney wa Mi...

Post Image

BAADA ya kauli ya rapa Ney wa Mitego kwa mpenzi wake wa zamani, Shamsa Ford kwamba kama anachagua wasichana wa kurudiana naye atakuwa wa kwanza kutokana na ukarimu na mapenzi yake, mrembo huyo ameibuka na kufurahia kauli hiyo. Shamsa aliliambia MTANZANIA kwamba, “Mimi na Ney tuliwahi kuwa wapenzi japo tumeachana ila kiukweli tulipendana sana na […]

Read More..