-->

Daily Archives: April 14, 2016

Mr Blue Afunga Ndoa

Post Image

Staa wa muziki wa Bongo Fleva Kheri Sameer ambaye wengi tumemzoea kwa jina la Mr Blue, leo April 14 2016 hatimaye ameamua kufunga ndoa na mama wa watoto wake Waheeda. Mr Blue amefunga ndoa na Waheeda ambaye amezaa nae watoto wawili wa kwanza akiwa wa kiume na wa pili akiwa wa kike, Mr Blue amefunga […]

Read More..

Shamsa Ford: Simtaki Nay wa Mitego!

Post Image

Staa wa filamu Tanzania Shamsa Ford amesafisha hewa baada ya kuwepo kwa uvumi wa yeye na Nay wa Mitego kutamaniana kurudisha penzi lao.   Shamsa alifunguka yote hayo baada ya vyombo kadhaa vya habari na mitandao tofauti tofuti ya kijamii kuripoti kuwa Nay katika moja ya mahojiano aliyoyafanya hivi karibuni alisema kuwa anatamani kurudiana na […]

Read More..

Msalaba wa Ajabu Wamshangaza Mama Kanumba

Post Image

Jambo limezua jambo! Baada ya hivi karibuni barua yenye ujumbe mzito kukutwa kaburini kwa aliyekuwa staa wa sinema za Bongo, marehemu Steven Kanumba, limezuka  jipya ambapo kitu kilichopo kaburini kinachodaiwa ni msalaba (kilichozungushiwa duara pichani) kimemshangaza mama wa Kanumba, Flora Mtegoa. Kitu hicho cha chuma chenye umbo la pembe tatu katikati kikiwa na alama ya […]

Read More..

Snura Mushi: Natamani Kufumaniwa

Post Image

KATIKA hali ya kushangaza mkali wa wimbo wa ‘Chura’ wenye mahadhi ya Singeli, Snura Mushi ‘Snura Majanga’, amedai kwamba anatamani afumaniwe. “Sijawahi kufumaniwa ila natamani nifumaniwe ili nijue uchungu na changamoto zake maana ili uweze kusimulia kitu vizuri sharti kikutokee,” alieleza Snura. Pia Snura alifafanua kwamba licha ya kutokuwahi kuolewa ana watoto wawili huku akiongeza […]

Read More..

Nilimpeleka Mama Ulaya Kumtoa Ushamba ̵...

Post Image

Msanii wa Bongo flava Diamond Platnumz alitembelea nchi karibuni tisa za ulaya katika ziara yake ya kimuziki aliyoimaliza hivi karibuni. Amesema ameona kuwa mziki wa bongo flava umekuwa mkubwa sana duniani kwani alijaza kumbi ambazo hata baadhi ya wanamuziki wa Marekani wakifika wanafanyia kule kwa sababu sio kila msanii wa marekani anaweza kujaza Arena hizo. […]

Read More..

Kisa Mil.98 Wema Ammwaga Idris

Post Image

Habari ya mtoto mzuri Wema Sepetu ‘Madam’ kumwagana na mpenzi wake, Idris Sultan si ngeni masikioni mwa wapenda ubuyu, imetapakaa kwenye mitandao ya kijamii lakini Amani limenasa sababu kubwa inayodaiwa kusababisha penzi hilo kuvunjika, twende pamoja. Mwishoni mwa wiki iliyopita, wawili hao waliripotiwa kumwagana rasmi ambapo haikubainika mara moja sababu. TUJIUNGE NA CHANZO Iliposambaa habari […]

Read More..

Gari ya Aunty Ezekiel Yashikiliwa na TRA

Post Image

Gari ya mwigizaji wa bongo movie Aunty Ezekiel imeshikiliwa na mamlaka ya mapato Tanzania (TRA), baada ya kutumia gari kabla ya kulipia ushuru. Gari yake ya aina ya AUDI aliyoiagiza afrika kusini ilikamatwa mwezi mmoja uliopita ikiwa na namba ambazo siyo Tanzania. Aunty Ezekiel ameeleza kuwa aliitumia gari hiyo wiki moja tu ndipo mamlaka ya […]

Read More..