-->

Daily Archives: April 23, 2016

Meneja wa Diamond Ataja Anapokosea Alikiba...

Post Image

Akiongea kwenye mahojiano na gazeti la Champion, Sallam alisema: Sina tatizo kabisa, akitaka tufanye kazi nitamweleza mahitaji yangu akikubali tutafanya kazi. Nilishawahi kukutana na Kiba, Nairobi, alinifuata akaomba tupige picha, sikuwa na kinyongo, tukapiga ikawa safi japokuwa ile picha aliitumia kunitukanisha baadaye. Akifafanua kuhusu hilo, Sallam alisema: Hakuiweka yeye katika mtandao, aliitoa kwa mashabiki wake […]

Read More..

Bishanga: Waigizaji Wengi wa Sasa Wanaiga ...

Post Image

Mwigizaji Mkongwe ambaye alikuwa kwenye kundi la Mambo Hayo lililokuwa maarufu miaka ya 90, Bishanga Bashaija amesema kuwa waigizaji wengi wa sasa hivi wanaiga sana Umagharibi,ndio maana tamthilia nyingi za sasa zinaoonyeshwa kwenye runinga kwa sasa ni kutoka Latin America. “Waigizaji wengi wa sasa wa hapa nchini wanaiga sana Umagharibi,ndio maana tamthilia nyingi za sasa zinazonyeshwa […]

Read More..

Madaha: Nikikosa Faragha Siku 3 tu Naugua

Post Image

STAA wa muziki Bongo fleva na Bongo Movies, Baby Joseph Madaha ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kuwa, starehe yake kubwa ni kuwa faragha na laazizi wake kiasi kwamba akipitisha siku tatu huwa anaugua. Akibonga na paparazi wetu kuhusu maisha yake ya kimapenzi, Madaha alisema kuwa kila mtu kuna kitu anakipenda hivyo yeye ugonjwa […]

Read More..

Nimeijua Thamani Yangu Nilipokuwa Burundi-S...

Post Image

Msanii wa filamu Shamsa Ford, amefunguka mambo mengi yaliyomtokea wakati akiandaa filamu yake mpya ‘Najuta Shamsa’ iliyofanyikia nchini Burundi na Tanzania. Akizungumza na Bongo5 hivi karibuni, Shamsa amesema mashabiki wa Burundi wamemfanya ajue thamani yake kama masanii. “Thamani yangu ya kuwa msanii nimeijua nchini Buruduni,” alisema Shamsa. “Nilivyopokelewa, kwanza kuanzia uwanja wa ndege, mule ndani […]

Read More..

Ukimya Wangu Umefanya Nijipange Zaidi ̵...

Post Image

Msanii wa bongo fleva Lawrence Malima maarufu kama Marlaw ambaye alitamba na nyimbo nyingi kipindi cha nyuma kama Rita, Missing my baby, Bembeleza na nyinginezo amesema kuwa ukimya wake umempa nafasi nzuri ya kujipanga na kufanya kazi nzuri zaidi. Marlaw ambaye aliweza kutambulisha style ya kiduku kwa mara ya mwisho alitamba na wimbo wake wa […]

Read More..