-->

Daily Archives: April 24, 2016

Rose Ndauka Asema Aliumia Kuachana na Mpenz...

Post Image

Msanii wa filamu Rose Ndauka amesema hakuna kitu kilimuumiza katika maisha yake kama kuachana na mpenzi wake Malick Bandawe aka Chiwaman, siku chache kabla ya ndoa yao kufanyika. Akizungumza na Bongo5 Jumatano hii, Rose Ndauka amesema aliumia kwa sababu alishatangaza kwa watu, kwamba anatarajia kufunga ndoa. “Kiukweli iliniumiza sana, kwa sababu mpaka tumefikia hatua tufunge […]

Read More..

Dotto Kuonyeshwa Kwenye ‘Bongo Movies Pre...

Post Image

Filamu ya Dotto iliyochezwa na mastaa wakali wa bongo movies wakionzwa na  Irene Paul pamoja na Patcho Mwamba itazinduliwa kwenye Bongo Movies Premiere pale escape one, Jumatano ya tarehe 27 mwezi huu. Mstaa kibao na wapenzi wa bongo movies wote watakuatana kuitazama filamu hiyo kwenye big screen siku huyo kuanzia saa 1 usiku. Usikose!

Read More..

Mussa Banzi wa Filamu ya Shumileta na Msiuk...

Post Image

Muongozaji mkongwe wa filamu na mwandishi wa stori za filamu, Mussa Banzi baada ya ukimya wa muda mrefu ameamua kurudi kwenye game la filamu ili kufanya mapinduzi. Banzi ambaye aliwahi kutamba na filamu kama Shumileta, Msiuka pamoja na Odama ambayo ilimtoa msanii Odama, ameiambia Bongo5 kuwa ameamua kurudi baada ya kuona tasnia ya filamu inayumba […]

Read More..

Papa Wemba Afariki Dunia Nchini Ivory Coast

Post Image

Mwanamuziki wa rhumba nchini DRC Jules Shungu Wembadio Pene Kikumba maarufu kwa jina la Papa Wemba amefariki dunia leo nchini Ivory Coast. Papaa Wemba amefariki dunia baada ya kuugua ghafla akiwa katika shughuli za kimuziki ambapo alianguka ghafla jukwaani katika tamasha la Festival des Musiques Urbaines d’Anoumabo (FEMUA) linaloendelea Abidjan, Ivory Coast. Bado chanzo cha […]

Read More..

Pete ya Lulu ya Waacha Njia Panda Mashabiki...

Post Image

  Staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amewaacha njia panda mashabiki wake mtandaoni baada ya hii leo kubandika picha wenye ukurasa wake wa instagram ya pete kidoleni  kwenye ukurasa wake wa instagram na kuandika haya;   “Asante MUNGU Wangu Kwa Neema Zako ambazo hazijawahi kuniacha ??? Maana Hata hiki kitendo cha kishujaa kujinunulia Pete […]

Read More..

Fahamu Maana ya Ngoma NdiNdiNdi ya Lady Jay...

Post Image

Msanii wa Bongo Flava Judith Wambura maarufu kama Lady JayDee ameweka hadharani maana ya ngoma yake mpya inayotesa mtaani kwa sasa kwa jina la NdiNdiNdi. Akiitambulisha video ya wimbo huo kwa mara ya kwanza ndani ya FNL ya EATV Lady JayDee amesema kwamba maana ya wimbo huo ni ‘The Ndi Mimi ni kitu Tori wewe […]

Read More..