-->

Daily Archives: November 9, 2016

Tunda Man Atoa Ushauri Huu kwa Madee Kuhusu...

Post Image

Msanii wa bongo fleva Tunda Man amemshauri rafiki yake Madee kufunga ndoa kwa kuwa amemzidi umri na ana mwanamke ambaye anampenda hivyo haoni sababu ya Madee kuacha kufunga ndoa na yupo tayari kuchangia mahari ya Madee.   Akiongea ndani ya eNewz Tunda amewapongeza wasanii wezake waliofunga ndoa akiwemo Nyandu Tozi, Mwana Fa , Mabeste na wengine Tunda […]

Read More..

Mimi Sio Meneja wa Wema Sepetu – Martin K...

Post Image

Aliyekuwa meneja wa Wema Sepetu, Martin Kadinda amefunguka na kuzungumzia mahusiano yake na malkia huyo wa filamu baada ya wawili hao kutokuwa karibu zaidi kama zamani. Mbunifu huyo wa mavazi ameiambia Bongo5 kuwa kwa sasa yeye na Wema Sepetu ni kama kaka na dada na sio meneja wake tena. “Mimi kum-meneji Wema nimemaliza kama miaka […]

Read More..

Abby Skills Amtaka Hakeem 5 Kumuomba Radhi ...

Post Image

Msanii mkongwe wa muziki wa bongo fleva Abby Skills amemchana msanii mwezake Hakeem 5 kutuliza akili yake na arudi kwa Ally Kiba amuombe msamaha kwa kuwa Kiba hana tatizo na mtu. Akiongea ndani ya eNewz, Abby amesema Hakeem 5 alimkosea sana Alikiba na kumshauri arudi nyuma na kuomba msamaha kwa kuwa mwanamuziki huyo hana kinyongo na […]

Read More..

Donald Trump Ashinda Uchaguzi wa Rais Marek...

Post Image

Donald Trump amemshinda Hillary Clinton katika matokeo ya uchaguzi wa urais uliokuwa na ushindani mkali. Bi Clinton amempigia simu Bw Trump kumpongeza kwa ushindi wake. Bw Trump alikuwa ameshinda majimbo mengi muhimu na kujiweka katika nafasi nzuri ya kushinda. Alikuwa ameshinda Ohio, Florida, na North Carolina, ingawa Bi Clinton alishinda Virginia. Kwa sasa Trump ana […]

Read More..

Lulu ni Wife Material – Idris Sultan

Post Image

Mchekeshaji na mshindi wa Big Brother 2014 Idris Sultan amedai katika tasnia ya filamu, mrembo Elizabeth Michael ‘Lulu’ ndiye msichana mwenye sifa ya kumuoa. Idris ambaye alikuwa akitoka kimapenzi na Wema Sepetu na baadae kuachana, ameiambia 255 ya XXL ya Clouds FM kuwa Lulu ndiye msichana ambaye anahisi ametulia. “Mimi naona Elizabeth Michael ametulia sana,” […]

Read More..