-->

Daily Archives: November 20, 2016

Dimpoz Afunguka Kuhusu Mubenga

Post Image

Msanii Ommy Dimpoz amekanusha tetesi za kuwa na ugomvi na aliyekuwa ‘business partiner’ ambaye pia alikuwa meneja wake maarufu kwa jina la Mubenga, baada ya kila mmoja kuchukua hamsini zake na kufanya yake. Akizungumza kwenye FNL ya East Africa Television Ommy Dimpoz amesema Mubenga ameamua kufanya biashara zake mwenyewe bila kushirikiana naye, kitu ambacho ni […]

Read More..

Chipsi Zamponza Baby Madaha, Alizwa na Viba...

Post Image

MWIGIZAJI wa filamu za bongo, Baby Joseph Madaha ‘Baby Madaha’, amejikuta akishikwa na butwaa baada ya kuporwa pochi yake na vibaka wawili waliokuwa katika pikipiki eneo la Makonde, Kunduchi, jijini Dar es Salaam. Mwigizaji huyo alipatwa na mkasa huo usiku wa juzi, wakati akielekea kununua chipsi karibu na kituo cha daladala cha Makonde. Ghafla pikipiki […]

Read More..

Mzee Majuto: Nataka Nikifa Nizikwe Kama Ste...

Post Image

Wiki hii, Mpaka Home ilifunga safari mpaka mkoani Tanga, nyumbani kwa mchekeshaji maarufu wa siku nyingi,  mzee Amri Athumani (68) ‘Mzee Majuto’ kwa lengo la kuyajua maisha halisi ya mchekeshaji huyu. Mzee Majuto anaishi eneo linaloitwa Donge, mkoani humo ambapo anaishi na familia yake nzima akiwepo mkewe kipenzi; Asha, watoto wake pamoja na wajukuu wake. […]

Read More..

Pichaz: Zari The Boss Lady Afanya ‘Ba...

Post Image

Siku zinayoyoma na mwezi ujao panapo majaliwa, Zari atajifungua mtoto wake wa pili na Diamond. Huyo atakuwa mtoto wake wa tano kwa ujumla. Katika kujiandaa na mapokezi ya mtoto huyo, staa huyo wa Uganda amefanya baby shower nchini Afrika Kusini na kuwashirikisha marafiki zake na watu wa karibu.

Read More..