-->

Daily Archives: November 26, 2016

Riyama,Muhogo, Bi. Hindu na King Majuto wa...

Post Image

BODI ya ukaguzi na filamu na michezo ya kuigiza ilifanya warsha kwa wasanii wa filamu Jiji la Mwanza kwa mafanikio makubwa sana kwa kupata wasanii washiriki wengi ambao wamepata elimu kutoka kwa wawezeshaji mahiri katika masuala ya filamu kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam na Dodoma. Akiongea na FC Katibu mtendaji wa Bodi ya […]

Read More..

Madee Ajibu Tuhuma Zinazomkabili Babu Tale

Post Image

Msanii Madee ambaye ni miongoni mwa wasanii viongozi wa Tip Top inayosimamiwa na Babu Tale, amejibu tuhuma za meneja wao huyo kuitelekeza Tip Top na kuegemea zaidi kwa Diamond Platnumz. Akizungumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Madee amesema hawezi kupinga maneno yaliyopo mtaani kwani ni kitu kinachoonekana kwao, lakini ukweli ni kwamba Babu Tale […]

Read More..

Wema Sepetu Ampongeza Ommy Dimpoz

Post Image

Baada ya hapo jana Ommy Dimpoz kufunguka kiundani kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM kwa kuelezea kilichopelekea akosane na rafiki yake wa zamani, Diamond Platnumz – Wema Sepetu amempongeza kwa kile alichokifanya. Malkia huyo wa filamu nchini, amempongeza hitmaker huyo wa Kajiandae kwa kumsifia kuwa ni mpole na mwenye busara ila alipenda kile alichokifanya […]

Read More..