-->

Daily Archives: November 17, 2016

Man Fongo: BASATA Walitaka Kufungia Hainaga...

Post Image

Msanii wa muziki wa Singeli Man Fongo amesema aliitwa na Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) na kuhojiwa kuhusu maudhui ya wimbo wake ‘Hainaga Ushemeji’ ambao umeshafanya vizuri katika vituo mbalimbali vya redio. Akiongea na Bongo5 wiki hii, Man Fongo amesema aliachiwa na baraza hilo baada ya kuonekana hana hatia. “BASATA walinitafuta wakaniuliza vipi kijana mbona […]

Read More..

Nisha Alia Tena, Amfungukia Baba Kijacho

Post Image

Staa wa Bongo Movies, Nisha kwa mara nyingine tena ametoa kilio chake kwa mwanaume aliyembebesha ujauzito alionao hivi sasa na kuachana. Nisha ambae hadi sasa ni ‘single parent’ amefunguka kwenye ukurasa wale wa Instagram kuwa atamlea mtoto ajae kama alivyomlea mtoto wake wa kwanza. “Mwanzo nlisema ok nitashinda..but siku baada ya siku najua atahitaji kukujua..kikubwa […]

Read More..

Calisah: Kama Sio Mimi ni Wema Aliyevujisha...

Post Image

Sinema ya model Calisah imezidi kushika kasi – amefunguka kwa kudai kuwa ni yeye au Wema Sepetu ndio waliovujisha video inaowaonesha wakilana denda. Siku chache zilizopita mwanamitindo huyo wa kiume alikamatwa na polisi kwa kosa la kudaiwa kusambaza kipande hicho cha video lakini baadae aliachiwa. Akiongea na kipindi cha Campus Vibes cha Times FM, Calisah […]

Read More..

Raymond Atuhumiwa Kuiba Mistari Kwenye Wimb...

Post Image

Msanii wa WCB, Raymond anatuhumiwa kutumia baadhi ya mistari ya wimbo wa msanii wa muziki wa Singeli, Manyo Lee kwenye wimbo wake mpya wa ‘Sugu’. Akiongea na kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio, Manyo Lee amesema, “Mimi nilisikia kwa watu tu kuwa dogo kachukuwa mashairi yangu. Juzi kati lilifanyika tamasha kubwa tu nikaona akiimba […]

Read More..