-->

Daily Archives: November 28, 2016

Trey Songz Amenipa ‘Kiki’ Hadi ...

Post Image

Msanii wa muziki wa bongo fleva, mwanadada Vanessa Mdee a.k.a Vee Money, amefunguka na kueleza faida alizopata kwa kuwa karibu na nyota wa muziki nchini Marekani Trey Songz. Akiwa katika kipindi cha FNL cha EATV, Vanessa alitakiwa kueleza faida alizopata kutokana na skendo zilizovuma siku za hivi karibuni kuwa alitoka kimapenzi na Trey Songz kipindi walipokuwa […]

Read More..

Muhogo Mchungu Anatudai – Solid Groun...

Post Image

Kundi la muziki wa bongo fleva Solid Ground Family ambao wameanza kitambo kwenye game ya muziki na mpaka sasa wapo kwenye game, wamekiri kitendo cha kumdhulumu muigizaji mkongwe wa filamu Muhogo Mchungu. Wakizungumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, wamesema deni hilo la Muhogo mchungu walilipata wakati wanaenda kufanya shooting ya video ya Bush Party’ […]

Read More..

Filamu ya Siri ya Moyo Kuonyeshwa Cineplex ...

Post Image

ILE Sinema ya Siri ya Moyo kutoka kwa mtayarishaji mahiri wa filamu Swahilihood Salum Saleh ‘Man Fizo’ inatarajiwa kuonyeshwa katika ukumbi wa sinema wa Cineplex cinema Quality Centre barabara ya Mwalimu Nyerere zamani Pugu Road, terehe 1. Dec. 2016 Man Fizo ndio mtayarishaji wa filamu ya Nimekosea wapi? Akiongea na FC mratibu wa tamasha hilo […]

Read More..

Alikiba Aicheka Kauli ya Diamond Kuhusu Pet...

Post Image

Kama una kumbuka  kauli ya Diamond aliyoitoa wiki iliyopita kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM kuhusu pete ya kijani ambapo Diamond alisema “Mimi sina matatizo na watu ndio maana wakijaribu kushindana na mimi huwa wanashindwa. Hata ukiniangalia sina hata pete ya kijani kwenye vidole vyangu.” Kumbe alikuwa amerusha jiwe gizani kwa upande wa pili. Inawezekana […]

Read More..