-->

Daily Archives: July 23, 2017

Flora Mbasha Alia na Wanaomchafua Mitandaon...

Post Image

Msanii wa nyimbo za Injili Tanzania, Flora Mbasha amevunja ukimya na kutoa onyo kwa baadhi ya watu wanaomchafua kupitia mitandao ya kijamii hususan Instagram. Flora ambaye kwa sasa ameolewa na mwanaume mwingine baada ya kutengana na mume wake wa awali ambaye pia ni mzazi mwenziye, Emmanuel Mbasha, amelazimika kutoa onyo hilo baada ya kusambaa kwa […]

Read More..

Apigwa Risasi Nje ya Kanisa Kibangu

Post Image

Mkazi wa Ubungo, Kibangu amenusurika kifo baada ya kupigwa risasi wakati akitaka kuingia katika Kanisa Katoliki, Parokia ya Kibangu, wilayani Ubungo. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Suzan Kaganda alithibitisha kutokea kwa tukio hilo. Akisimulia tukio hilo, mfanyakazi wa kanisa hilo, George Ng’atigwa amesema aliyejeruhiwa ni muumini wa kanisa hilo aliyemtaja kwa jina la Adrian […]

Read More..

Shamsa Ford Anahitaji Watoto Wanne Zaidi

Post Image

MKE wa mfanyabiashara wa nguo, Rashid Said (Chid Mapenzi), Shamsa Ford, ameweka wazi kwamba baada ya kuishi katika ndoa kwa muda mrefu sasa anataka watoto wengine wanne. Msanii huyo ambaye alifunga ndoa Septemba mwaka jana, aliliambia MTANZANIA kwamba ameshafanya mambo mbalimbali ya starehe na mume wake huyo na sasa umefika wakati wa kuongeza watoto wengine […]

Read More..

Diamond Platnumz, Future na Cassper Nyovest...

Post Image

Jana usiku kulikuwa na tamasha kubwa la muziki la Castle Light Unlocks lililowakutanisha wasanii wakubwa wa kimataifa kama Diamond Platnum, Cassper Nyovest kutoka Afrika Kusini, Rapa Future kutoka Marekani na wengine na kundi la Weusi, Navy Kenzo na Vanessa Mdee wote kutoka Tanzania. Kwenye Tamasha hilo Msanii Diamond Platnumz, Future na Cassper Nyovest wameonekana kusepa […]

Read More..

Ushindi wa Mwana Fa, Ay Umeipa Heshima Sana...

Post Image

HARAKATI mbalimbali zinaendelea duniani kote za kuhakikisha kazi za sanaa zinaheshimiwa na kutumika kwa faida ya msanii mwenyewe. Habari njema kwenye muziki wa Bongo Fleva ni ushindi wa wasanii Hamis Mwinjuma ‘Mwana Fa’ na Ambwene Yessaya ‘AY’, katika kesi waliyoifungua dhidi ya kampuni moja ya mawasiliano nchini, ambapo jana, Mahakama Kuu ikaitupilia mbali rufaa hiyo […]

Read More..