-->

Daily Archives: July 29, 2017

Fatma Karume Amshtaki Polisi Aliyemzogoa Ma...

Post Image

WAKILI wa Mwanasheria Mkuu wa Chadema na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika, Tundu Lissu, Fatma Karume amefungua kesi ya madai Mahakama Kuu ya Tanzania dhdi ya Inspekta wa Polisi Eugene Mwampondela wa Kituo Kikuu cha Polisi Dar es salaam. Katika kesi hiyo, Fatma anahitaji alipwe na Inspekta Mwampondela Sh bilioni moja kwa kosa la […]

Read More..

Sijapigwa ‘stop’ na Baraka – Naj

Post Image

Msanii wa bongo fleva na mpenzi wake Baraka the Price, Najdattani amefunguka kwa kukanusha kuwa hajawahi pigwa marufuku na mwenzake wake kuwatumia ‘model’ wa kiume katika video yake mpya ya wimbo wa utanielewa kama watu wengine wanavyodai. Naj amebainisha hayo kupitia kipindi cha eNewz kutoka EATV baada ya kuwepo minong’ono mingi inayodai kuhusisha wivu wa […]

Read More..

Diamond Awapa Makavu Watu Hawa

Post Image

Diamond Platnumz amewatolea povu watu wanaokosoa kitendo cha yeye kula ‘Good time’ na mama watoto wake Zari the boss lady kwa madai kuwa mwanamama  huyo ametoka kwenye majonzi ya kufiwa na mama yake siku sio nyingi. Kupitia mtandao wa instagram, Diamond aliweka picha hiyo hapo juu nakufunguka; “Kuna vichupi kunuka wanajifanya wanajua sana uchungu wa […]

Read More..

Johari: Sijawa ‘Used’ Bado Ninaheshimik...

Post Image

STAA wa filamu za Kibongo toka kitambo, Blandinda Chagula ‘Johari’ ametema cheche kuwa hata kama ametumika muda mrefu kwenye tasnia hiyo lakini bado anaheshimika kwa mashabiki wake na siyo ‘Used’ kama wanavyodai mastaa wanaochipukia. Akizungumza na Risasi Jumamosi, Johari ambaye jana Ijumaa Julai 28, 2017 ilikuwa ni kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa, alisema anaamini […]

Read More..