-->

Daily Archives: July 30, 2017

Nisha Awatolea Povu Kina Marioo

Post Image

Muigizaji wa filamu bongo na Mchekeshaji, Nisha amewatolea uvivu wanaume wanaopenda kulelewa kwa madai ya kuwaridhisha wanawake kwenye mapenzi kwa kuwaambia kwamba hata wanawake huwa wanachoka kupigwa vizinga vya kila mara. Nisha ametoa povu hilo kwenye FNL ya EATV na kusema wanaume wengi wanaokuwa hawapendi kufanya kazi kwa madai wanatunzwa na wanawake wanakuwa ni mzigo kwani […]

Read More..

Nitawakimbiza Sana- Ibrah

Post Image

MUIGIZAJI Bora wa kiume katika Tamasha la Filamu la Zanzibar, (ZIFF), Ibrahim Osward ‘Ibrah’ ameanza kuchonga baada ya kunyakua tuzo hiyo akidai kuna nyingine zinakuja kwa umri na kipaji alichonacho. “Namshukuru Mungu kwa kuniweka juu na kushinda tuzo kubwa ya ZIFF. Naamini nitawakimbiza sana waigizaji wa kiume kwani umri wangu unaruhusu,” alisema Ibrah. Kinara huyo […]

Read More..

Uwoya Alinitaka Mwenyewe – Msami Baby.

Post Image

Mwanamuziki anayefanya poa na ngoma ya ‘So Fine’ Msami baby amedai hana mawazo ya mpenzi wake wa zamani, msanii wa bogo movie, Irene Uwoya kutoka kimapenzi na msanii Dogo Janja kwani hakuwahi kumtaka bali mwanadada huyo ndiye aliyemtaka wa kwanza. Msami amefunguka hayo kwenye FNL ya EATV ijuma hii wakati alipokuwa akijibu swali la mtangazaji […]

Read More..