-->

Mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina na klabu ya FC Barcelona ya Hispania Lionel Messi :Mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Dunia kwa mara ya tano.

Messi akiwa na tuzo yake

Lionel Messi akiwa na tuzo yake mapema leo

January 11 ndio ilikuwa siku ya shirikisho la soka ulimwenguni FIFA kutangaza washindi wa tuzo kadhaa ikiwemo tuzo ya mchezaji bora wa Dunia ambayo ilikuwa inawaniwa naLionel Messi, Neymar na Cristiano Ronaldo. FIFA usiku wa January 11 Zurich Uswiss wamemtangaza mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina na klabu ya FC Barcelona yaHispania Lionel Messi kuwa ndie mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Dunia kwa mara ya tano.

Ndani ya ukumbi wa kutolea tuzo

Ndani ya ukumbi wa kutolea tuzo

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Hi there!

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364